21. Aug, 14:01
Ad ID 3273258
TSh 1

BAWASIRI POWDER & BAWASIRI FLUID: NI DAWA ASILIA INAYOTIBU NA KUMALIZA KABISA TATIZO LA BAWASIRI

Ilala, Ilala Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Free delivery in Dar es salaam

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Bawasiri ni nini?
Bawasiri Ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya dawa sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/mgongo nk

▶️Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa kinyama,miwasho,maumivu makali na kutoa damu

MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

▶️ Uzito kupita kiasi(Overweight)
▶️ Ujauzito
▶️ Unywaji pombe
▶️ Kukaa sana sehemu ngumu
▶️ Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa.
▶️ Kujisaidia Choo Kigumu.Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya TUMBO
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni
▶️ Kula sana nyama nyekundu
▶️ Presha ya kupanda
▶️ Kula sana pilipili
▶️ Kula udongo(Wajawazito na watoto wadogo)
AINA ZA BAWASIRI⤵️
-Kuna aina 2 za Bawasiri kama ifuatavyo⤵⤵⤵⤵

1⃣. BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata kama hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2️⃣.BAWASIRI YA NDANI
Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya ndani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵

 1. HATUA YA KWANZA
  Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekan wakati wa kujisaidia.

 2. HATUA YA PILI
  Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

 3. HATUA YA TATU
  Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurud yenyewe baada ya muda

 4. HATUA YA NNE
  Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI
1.?kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa
2.?kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa
3.?kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa
4.?kupata kinyesi chenye damu
5.?kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
6.? Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya

ATHARI ZA BAWASIRI
1.?Upungufu wa damu mwilini.
2.?Kutokwa na kinyesi bila kujitambua.
3.?kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa.
4.?kupungukiwa nguvu za kiume.
5.?kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu.
6.?Kupata tatizo la kisaikolojia.
7.?Kutopata ujauzito
8.? Mimba kuharibika
10.? Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
11.? Mwili kudhoofika.
Bawasiri INATIBIKA bila ya kufanya opereshen hata kama imekaa miaka 10 Karibu PANDEX HERBS upate dawa asilia ili kutibu tatizo lako.

Jailan Juma
Jailan Juma
Member Since 19. Aug
Verified via:
Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.