31. Aug '20, 18:10
Ad ID 713070
TSh 200,000

Incubator za Sola na Umeme Mayai 36-560

Kinondoni, Makuburi Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Mikoani tunatuma na zinafika salama kabisa au unaweza kumtuma mtu wako ofisini kwetu akalipia na kukutumia.

Details
Price negotiable
Yes
Condition
New
Description

Inatumia sola, umeme, au betri ya gari/pikipiki
Inatumia umeme 35 - 80watts
Tayari zimesetiwa kiwango sahihi cha joto cha kutotolesha mayai ya kuku, bata maji, bata mzinga, bukini, kanga, njiwa na kware.
Zina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 96%
Ni full automatic na zinageuza mayai yenyewe.
Utapata ofa ya feeder na drinker.
Zipo za mayai 36(200,000), 64(375,000), 120(570,000), 192(680,000), 256(850,000) 320(970,000) 480(1,550,000) 560(1,650,000) na 1000(2,650,000)
Note: Namba za kwenye mabano ni bei za mashine husika.
Inafaaa sana kwa sehemu ambazo bado hazina umeme wa tanesco au sio wa uhakika.
Zina kifaa maalum cha kuongeza unyevu.(humidifier)

Tupo maeneo ya Ubungo External barabara ya Makuburi tunatazamana na shule ya msingi Makuburi Jeshini, baada tu ya sheli ya SimbaOil iliyopo kwenye kona.

Eco Farms Innovatives
Member Since 2. Sep '15
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.