MAHALI: VIKINDU-MKURANGA
Eneo lenye hekali 35, lililopo vikindu Mkuranga, Eneo limeandaliwa Kisasa kabisa na Limeendelezwa kama ifuatavyo;
Limepandwa Ndimu heka 6,
mahindi heka 4, Pation1.5,
Bonde la mpunga heka 8,
Majani ya ng`ombe heka 2,
Papai heka 4,
Eneo la Wazi heka 10.
MALI ZINGINGINE ZILIZOPO
Nyumba kubwa3,
Nyumba ya wafanyakazi 1,
Nyumba yenye room 3,
Godauni kubwa na la kisasa,
Nyumba room 1 na choo. Tank kubwa Lita laki 1,
MFUMO WA MAJI
Tank za plastic =6 Lita 5000 uko kwenye minara yake,
?Mabwawa ya SAMAKI 10 yanasamaki 10,000. Kisima Chenye Urefu wa mita 100 (over flow) muda wote hakikauki,
Pamp ya kisima hz power 5,
WANYAMA WALIOPO
?mbuzi 10
? Bata 40
? Ng'ombe 2
?Shambani pia kumepandwa Nazi 300= Kuna pamp 3, za kumwagilia.
?Mbwa 7.
UMBALI: 14km kutoka barabarani
UMILIKI: HATI
Learn about new items, custom picked just for you.