Hii ni Apple ipad Air 2
yenye ukubwa wa 9 inches,
internal storage 32 gb
ram 2
video 1080p
inakaa na charge mpaka wiki mbili
haina tatizo lolote, kwa mteja anayeihitaji tuwasiliane whatsapp au afike jengo la nhc house, posta mpya mkabala na ofisi za ttcl
Learn about new items, custom picked just for you.