Apartment zipo Tatu kwenye fensi moja na kila apartment inavyumba vi2 kimoja master bedroom na umeme zinajitegemea maji yapo, pia nyumba mpya ni zinamiezi 6 tu wapangaji wapo Kodi laki 3 kwa mwezi, eneo lake Sqm 700 na pameshapimwa tayari bado hati miliki tu njoo ukague tufanye biashara garama kupelekwa saiti kuona ni za mteja mwenyewe
Learn about new items, custom picked just for you.