ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi-1.
Gharama ya uonyeshwaji ni Tshs.20,000.
Zipo 3 kwenye Uwanja.
Chumba kimoja ni Masta.
Luku inajitegemea.
Parking ipo.
Mwendo wa Dakika 8 Kwa miguu kutoka Barabara ya Morogoro/Mwendo Kasi.
Chini Tiles,
Gypsum na Dirisha za Vioo vya Shata
Learn about new items, custom picked just for you.