19. Sep, 12:23
Ad ID 3384406
TSh 150,000,000

APARTMENT INAUZWA BEI POA UPANGA DAR ES SALAAM.

Ilala, Upanga Magharibi Dar Es Salaam Ally Hassani mwinyi Road
Details
Price negotiable
Yes
No of bedrooms
3
No of bathrooms
3
Description

Ipo katika Barabara ya Ally Hassani Mwinyi. Ni ya chini ambapo utakua na haki ya kufaidi uwanja uliopo nyuma na pembeni. Imegawanyika katika sehemu tatu na kila sehemu ina choo na bafu lake. Kibishara unaweza kupangisha familia tatu za mabachela na kila mmoja ukamtoza kodi ya 500,000 kwa mwezi. Pia unaweza kuongeza vyumba vingine ikakuletea kodi nyingine. Apartment in hati miliki.
Bei 150mili. Kuinunua piga simu .

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Kitomai
Kitomai
Member Since 27. Jul '12
Verified via:
Email Facebook Mobile Number
Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.