#BEST APARTMENT_FOR RENT KIBAMBA CHAMA #MPYA_KABISA
.
.
Ina vyumba viwili vya kulala vikubwa (kimoja master), Sebule kubwa, Jiko kubwa na Choo cha familia
.
.
kodi 250,000/=x6
.
.
Ipo Kibamba Chama njia ya kwenda Hospitali ya muhimbili (Mloganzila) Umbali wa Kilometa moja kutoka Morogoro road
.
.
Kwenye fensi zipo mbili tu, parking kubwa, alminium windows, paving blocks, Mazingira mazuri sana.
.
.
Inajitegemea umeme na maji, pia maji yanatoka ndani
.
.
#NB Ipo kwenye hatua za Mwisho yaani ipo kwenye finishing za mwisho Kulipia Ruksa #NYUMBA_NI_MPYA_YA_KISASA
.
.
Service Charge ni 10,000/=
Learn about new items, custom picked just for you.