Nyumba inapangishwa laki 5 kwa mwezi malipo miezi 6 niapatment 2 gorofa ya juu ipo wazi + Mahali ilipo boko beach mita 300/ kutoka rami inavyumba v3 kimoja master public toilet dining sitingrom na jiko tiles gypsum slide window paving block full a/c luku maji vinajitegemea mnashea gate na salamu tu + gharama zakuona nyumba ni 20000/ ukilipia kodiamwezi boko beach
Learn about new items, custom picked just for you.