6. Apr, 15:02
Ad ID: 2649075
TSh 300,000

Apartment for rent at Mbezi mwisho

Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
No
Terms
6 Months in advance
Description

#Apartment for rent at Mbezi Mwisho via Goba road; 300k
;
;
#Hii nyumba ni mpya kabisa ina vyumba 2 vikubwa Sana vya kulala ila HAKUNA MASTER, Kuna choo kizuri cha familia, sebule, jiko zuri open kitchen linafungwa makabati, hii apartment inajitegemea kwa kila kitu kuanzia umeme wake na mita yake ya maji Dawasa, kwenye fensi moja zipo apartment 3 na hii moja ndio imebakia,
;
;
#zipo Mbezi Mwisho njia ya lami kuelekea Goba kutoka Morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 15 kwa miguu, vilevile ukipanda bajaji au daladala zinazopita njia ya goba ukishuka unatembea dakika 4 tu
;
;
#kodi 300,000/= × 6
;
;
#Malipo ya dalali Festo ni hela ya mwezi mmoja 300,000/=
;
;
#service charge 20,000/=

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Festo
Member Since 31. Aug '20
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.