•
VYUMBA VITATU VYA KULALA
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-MBEZI BEACH TANGI BOVU
———————————————————-
KODI TSHS LAKI 700,000/=KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
——
APART YA KISASA
YA KIFAMILIA
YENYE:-
Vyumba Vitatu vikubwa vya kulala Kimoja wapo ni Master
#Sebule kubwa#Dinning Jiko lenye #Makabati
#Choo/Bafu vya public#Vyandani
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
Nje #Pavingblocks
#Nje Pervingblock
FencedHouse
Garden
Learn about new items, custom picked just for you.