Popote tunakufikia kwa garam nafuu
ANATIC HERBAL ESSENCE SOAP(DAKTARI WA NGOZI)
{PRODUCT FROM U.S.A}
0% chemical
Ni sabuni ya mitishamba iliyotengenezwa kwa viambata asilia kama vifuatavyo
KAZI MUHIMU
Hupambana na mzee na kuondoa makunyanzi
Hufanya ngozi kuwa na unyevu unyevu na muinekano nadhifu
Huondoa mafuta yaliyozidi kwenye ngozi.
Inavuta uchafu uliopo ndani ya ngozi, unaosababisha chunusi na mapele.
Inaomdoa madoa/makovu kwenye ngozi
Inaondoa seli za ngozi zilizokufa hivyo kufanya ngozi iwe laini na nyororo
Inazibua(inafungua) njia za jasho kwenye vinyweleo hivyo kudhibiti tatizo la harufu mbaya ya mwili
Inatibu na kukausha vidonda.
Inaua vijidudu (bacteria) wa kinywa, fangasi, upele na mapunye
Inatumika kama mafuta ya kupaka pia.
Inatunza ngozi ya mtoto mdogo
Order
Learn about new items, custom picked just for you.