Ni sabuni ya asili inayotibu matatizo ya ngozi kama vili
upere ,fungusi ,mapunye ,makunyanzi,miwasho ,makovu,madoa DOA ,chunusi sugu, weusi mapajani makwapani, harufu mbaya makwapani, hinaondoa MBA, ni nzuri kwa watoto, hurainisha ngozi kuwa nyororo na kukuweka mwenye unyevu nyevu mda wote, hinaondoa mabaka mabaka NK