Viwanja vinne vinauzwa vipo gezaulole pembeni ya South Beach Residences (kwa wachina). Vipo area ya beach 2.
Kiwanja cha 936sqm kinauzwa milioni 30.
Kiwanja cha 1872sqm kinauzwa milioni 55.
Eneo lipo karibu na manispaa ya kigamboni na umbali wa mita 400 kutoka beach limepakana na majengo ya south beach residences.
Umeme na maji vyote vipo.
Learn about new items, custom picked just for you.