NYUMBA INAUZWA MADALE DAR ES SALAAM
Ipo Madale Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam
Ina vyumba vitatu, Viwili master bedroom, ina sitting & dining room, kitchen, public toilet, store, Cctv Camera, Air Condition, Umeme, kisima cha Maji, Sola Power Systeam, Garden, Car Parking, Frem mbili za duka n.k
Kiwanja chake kina ukubwa wa SQM - 1000 kimepimwa na hati ipo kwenye hatua za mwisho kutoka.
Bei: Tsh 160milion. Na mazungumzo yapo.
Learn about new items, custom picked just for you.