Gari aina ya ford ranger pick up inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
ID ford ranger 01
Make - ford
Model - ford ranger
Year - 2012
Doors - 4
Seats - 8
Engine size (cc) - 2200
Number 0f Airbags - 2
Fuel - diesel
Color - black
Warranty: - No
New: No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es salaam.
Learn about new items, custom picked just for you.