Gari aina ya Toyota Spacio inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa injini .Bei ni Tsh10,000,000.00
ID Ford ranger 03
Make - Toyota
Model - spacio
Year - 2009
Doors - 5
Seats - 5
Engine size (cc) - 1490
Number of Airbags - 2
Fuel - petrol
Color - gold
Warranty: - No
New: - No
Kwa mawasiliano zaidi: tembelea www.brrealestate.co.tz au www.brbuyandsell.co.tz .Pia unawezakufika ofisini kwetu Amverton office park mtaa wa Magore & Lugalo - Upanga
Learn about new items, custom picked just for you.