Viwanja vinauzwa kigamboni cheka. Mradi upo 24 km kutoka ferry. Na 1 km kutoka barabara kuu. Huduma zote za kijamii kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana.
Malipo ni cash au kwa instalment hadi ya mwaka mmoja na nusu. Miliki ardhi sasa na ABC properties Ltd.
Learn about new items, custom picked just for you.