Gari aina ya Toyota Corona inauzwa. Ipo katika hali nzuri. Tairi ni mpya, sport tims, CD changer. Haijawahi kurudiwa rangi, haijawahi kufunguliwa engine na ni nzuri kwa familia au biashara.
ID cherdee
Make -Toyota
Model -Corona
Year -1999
Doors -5
Seats -5
Engine size (cc) -1560
Number 0f Airbags -2
Fuel -Petrol
Color -White
Warranty: -No
New: -No
Nunua magari mazuri na kwa bei nafuu kutoka Br Buy and Sale. Kwa mawasiliano zaidi: tembelea https://brbuyandsell.co.tz Tupo Amverton Office Park,Upanga mtaa wa Lugalo & Magore Dar es salaam
Learn about new items, custom picked just for you.