12. Apr, 13:40
Ad ID: 2667626
TSh 38,000,000

1995 Mitsubishi

Kigamboni, Kigamboni Dar Es Salaam
Details
Import duty paid
Yes
Price negotiable
Yes
Condition
Refurbished
Year
1995
Make
Mitsubishi
Current location
In Tanzania
Mileage
95000
Description

Hii ni gari inayopendwa zaidi katika jamii ya magari ya kubeba mizigo. Ni gari imara na yenye injini bora katika jamii za magari ya Mitsubishi. Nimekuwa na gari hii kwa muda tokea niagize kutoka Japan lakini kwa bahati mbaya sijaitumia sana kutokana na kadhia za madereva, Nimeiboresha na kuipendezesha zaidi nikitarajia kuanza kufanya biashara lakini siku ya kwanza tu dereva ameanza uswahili hivyo nimeamua kuuza. Ina mwonekano mzuri na injini yake ni kama mpya ingawa kwenye cabin ya dereva itahitaji marekebisho madogo kama kuvalisha seat cover n.k.

Jina la Gari: Mitsubishi Canter Truck
Model yake: FE517B
Model ya Injini: 4D33
Aina ya Gear: Manual 6 Gear
Ukubwa wa Injini: 4,210cc
Mafuta inayotumia: Diesel
Uwezo wa Kubeba Mzigo: 2-3ton
Mapato TRA: 30 Juni, 2021.
Insurance: 30 Septemba, 2021.

Nauza kwa Tsh. 38m hii ni kutokana na magari ya aina hii kupanda sana bei na kodi zake kwa sasa, lakini pia mazungumzo yapo.

Kwa mhitaji wa kweli tu tafadhali nipigie au tuma sms au whatsapp

malik.tz@gmail.com
Member Since 16. Jul '12
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.