Habari - Hostel for sale
Hostel hiyo iko chuo kikuu.
Vyumba 17 self,
Maji dawasco na simtanks 16,000 lts,
Umeme , luku 1 kwa vyumba 2, dstv, azam kila chumba,
Lounge equipped na makochi na tv,
Duka iko na fridge, freezer na shelves,
Jiko na majiko makubwa ya gass na mitungi mikubwa na vyombo.
Kila chumba Kuna vitanda 3 na magodoro.
Imepakana na chuo, unaingilia utawala. Mts 250 kutoka lami ya chuo.
Ina Sqm 918 na leseni ya makazi 5yrs.
Vyumba vyote vimejaa wapangaji.
Learn about new items, custom picked just for you.