• Mtaa: Mchikichini
• Kodi: TSh 400,000/mwezi
• Kupelekwa kuona: TZS 10,000
• Malipo ya kamisheni ya dalali yatatozwa
.
ghorofa 1 (hakuna lift) • chini sebule, jiko na choo kimoja cha jumuiya • juu vyumba viwili vya kulala na choo kimoja cha jumuiya • ina verandah chini na balcony juu • malumalu sakafuni • gypsum • madirisha vioo • feni za juu • luku ya kwako • maji ya dawasa • maegesho ya gari
.
• Visit our listing to find more and different properties.
• If you can't get enough of our properties, send a request of your choice through our contacts
Learn about new items, custom picked just for you.