Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Laptop Ya Tafiti Za Ujasiriamali Na Kilimo Inauzwa

TSh 320,000
Ad ID
1046679
Posted at
11. May, 15:33
Details
Price negotiable
Yes
Condition
Used Abroad
Brand
Lenovo
Screen Size
20.0 Inches
RAM
4 GB
Hard Drive
250 GB
Location
Temeke, Kigamboni Dar Es Salaam
Description

Habari wakuu,
Nauza laptop yangu niliyokuwa nafanyia tafiti juu ya kilimo na ujasiriamali.
Ndani ya laptop hii kuna program zifuatazo:
1.one2two Lite, inayokuwezesha kujua bei za mazao kila siku kwa masoko yote ya Tanzania

2.Miongozo ya kilimo biashara kwa mazao mengi ikiwemo Mihogo,bamia, miwa, maharage,vitunguu,matiki maji,ufuta,pilipili hoho. dengu,Nyanya ,papai ,ufugaji kuku n uleaji wa kuku.

3.Laptop hii inakaa na chaji Masaa manne, ina Bluetooth, camera, mlango wa DVD , begi lake, Wi-Fi (internet ya simu),250GB hard disk , ram , 64 bit, i3 processor

Bei ni tzs 320,000/- laki tatu ishirini elfu tu

Kwa mnunuzi piga

Member Since 10. May 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.