Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
29. Jan, 18:27
Ad ID: 1695176
TSh 450,000

GAMING LAPTOP IN GOOD CONDITION

Ilala, Gongo la Mboto Dar Es Salaam
Seller offers delivery

Makubaliano nakuletea adi ulipo in DSM, MKOANI Unatumiwa

Details
Price negotiable
Yes
Condition
Used
Brand
Asus
Laptop model
X550l
Screen Size
15.6 Inches
RAM
4 GB
Hard Drive
500 GB
Description

Nauza laptop yangu Asus x550l , mashine iko fresh na inapiga kazi vizuri tuu

SIFA ZAKE
-Intel core i7 Processor

  • 4GB Ram
  • Nvidia geforce 740m (2gb graphics card)
  • 500gb HDD
    -15.6 inch display

MASHINE NI NZURI, na nmeitumia ktk photo and video editing, pamoja na gaming.. Nlikua na FIFA 19 inapeleka fresh tu

OFA YAKE

=> Inakuja na movies Kali zaidi ya 50 na Music video zaidi ya 70.

=> Kipengele chake ni Battery, ambayo imeisha nguvu so haikai na chaji, pia inatumia MOUSE na EARPHONES kwa audio.. Lakini ukiweka window nyingine inakua fresh .

=> case yake pia inabadilishika.. So unaweza pia fanya ivo.

BEI: 450,000/= (LAKI 4 NA NUSU TU)

Maongez yapo kidogo

LOCATION: DSM, utaletewa mpaka ulipo.. Na mikoani unatumiwa pia ukihitaji

NJOO INBOX TUYAJENGE
Changamkia fursa hii

Max
Member Since 29. Jan 1 Total Ads / 1 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.