Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
23. Apr, 14:06
Ad ID: 1599020
TSh 1,300,000

VIWANJA VYA MAKAZI BORA OBEY NEW VILLAGE KISEMVULE

Other District Other Location Magali kkoo Tandika Temeke Sterio Kivukoni Mbagala
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Kisemvule Obey
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
400.0 ft²
Description

OBEY NEW VILLAGE inakuletea OFFER Kabambe ya viwanja vya makazi kwa bei nafuu, Wahi mapema,
BEI SASA NI MILIONI MOJA NA LAKI TATU(1300000) TU . Ni Viwanja vizuri sana VIMEPIMWA,

UKUBWA kwa kila kiwanja ni Futi 50 X 40 mil 1.3, futi 80 X 50 (SQM 400)milion 2.6, futi 100 X 80 (SQM 800)milion 5.2
Viwanja vipo kisemvule mbele kidogo ya mbagala.

Vimezungukwa na huduma muhimu jirani, Umeme upo jirani, Maji yapo, Eneo la
Shule limetengwa, Eneo la Stendi limetenga Eneo la kituo cha afya limetengwa, Eneo la Soko n.k

USAFIRI NI UHAKIKA , kuna daladala za kutoka Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi Kisemvule, Temeke hadi Kisemvule n.k

FIKA KISEMVULE , utapelekwa mpaka kwenye mradi wetu bure. Njoo ulipie kiwanja chako, KWA AWAMU TUNAPOKEA .

KUMBUKA KUJA KUONA NI BUREEE NA KUNUNUA NI HADI URIDHIKE MWENYEWE.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Juma Mbarale
Juma Mbarale
Member Since 10. Jun '19 11 Total Ads / 8 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Activate Notifications
To receive the latest updates & news
Subscribe
Deactivate Notifications
To stop receiving the latest updates & news
Unsubscribe
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.