Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
11. Dec '19, 08:22
Ad ID: 1562305
TSh 550,000

VIWANJA VYA MAKAZI KIMERE,KIRIBU NA BUNJU MWISHO

Kinondoni, Bunju Dar Es Salaam Viwanja vipo mpakani mwa bunju na mapinga Unashuka kituo cha Mingoi Kama unatoka Mjini Dsm Na Km 2.9 mpka kwenye viwanja
Details
Price negotiable
No
Reference
00
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
600.0 m²
Description

VIWANJA VIPYA VYA MAKAZI
Viwanja vya makazi vinauzwa,Vipo Mpakani mwa Bunju Mwisho Na Kimere Mapinga Eneo linaitwa Kimere Chini
Umbali ni Km 2.9 kutoka Bagamoyo road
Vipo viwanja vya ukubwa na bei tofauti kama ifuatavyo:
Sqm 400(20×20)kwa bei ya million 4
Sqm 600(20×30)kwa bei ya millioni 5.5
Luksa kulipa kwa Cash au kwa Awamu (anza na 50% maliza na 50% ndani ya miezi 3)

Miundo mbinu ya barabara ipo vizuri sana,maji na umeme vipo karibu sana na viwanja.
Mji huu unakua kwa kasi sana,Wahi ujipatie kiwanja mapema

Piga Simu kwa muhusika
Ukipata ujumbe huu mjurishe ndugu,Jamaa na Marafiki.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
ALNOD ALFRED
ALNOD ALFRED
Member Since 17. Jan '17 7 Total Ads / 4 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.