VIWANJA VILIVYOPIMWA VINAUZWA KWA BEI NAFUU
MAELEKEZO.
Ni mradi mkubwa wa zaidi ya viwanja 500 unauzwa kimbiji.
Ni eneo zuri sana lina faa kwa makazi,hotel au uwekezaji wa aina yoyote.
LOCATION
viwanja vipo kimbiji (mtaa wa golani)nyuma ya kiwanda cha cement nyati.
Pia upo nyuma ya serikali ya mtaa golani.
MATUMIZI
vinafaa kwa makazi,hotel,shule au uwekezaji wowote.
UKUBWA
Sqm400(20*20)
BEI
Tsh 2000000 tu
Milion 2
KUMBUKA VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA.
Asimilia kumi kwa dalalimsomi
Learn about new items, custom picked just for you.