Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
11. Nov, 23:25
Ad ID: 2275541
TSh 6,000,000

Viwanja Vinauzwa Kigamboni Kisarawe 2 Kigogo Tsh Million 6 Tu Kwa Square Meter 400

Temeke, Kisarawe II Dar Es Salaam Kisarawe 2 Kigogo
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Abdul
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
400.0 m²
Description

COLDWELL PROPERTY LIMITED Ni Wauzaji Na Wakopeshaji Wa Viwanja Na Mashamba Bila Riba Wala Dhamana.
MRADI
KIGAMBONI KISARAWE||
KIGOGO
-Ni Mradi Mzuri Mno
-Umbali Ni 16 km Toka Kigamboni Ferry Na Meters 900 Toka Main Road(Mwasonga Road)
-Viwanja Vimepimwa Na Vina Beacon kabisa Zinazotambulika Halmashauri.
-Barabara Za Mtaa Zimechongwa Na Neighborhood Yake inavutia kwa kweli.
-Huduma zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Bei Ni Tsh 15,000/= kwa Square Meter Moja.
-Hati Utapewa Ndani Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kumaliza Malipo Ya kiwanja.
MALIPO:
Unaweza Lipa Cash Ama Ukaanza Na 50% Na Inayobaki Utamalizia Kidogo kidogo Ndani Ya Miezi 5 Ukiigawanya Kwa Kila Mwezi.
#SITE VISIT Ni Kila Jumamosi.
Ofisi Zetu Zipo Mabibo Mwisho jirani Na Stendi Ya Daladala.
☎️Tupige:
KARIBUNI SANA ?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Palace Property Limited
Member Since 26. Apr 146 Total Ads / 34 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.