Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
14. Sep, 15:27
Ad ID: 2123002
TSh 2,500,000

Viwanja Vinauzwa Kigamboni Kimbiji Golani Tsh Million 2.5 Kwa Plot Ya Square Meter 500

Temeke, Kimbiji Dar Es Salaam Kigamboni Kimbiji Golani
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Abdul
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
500.0 m²
Description

New!!!
♾️Karibuni Fapham Investment Company
MIRADI MIPYA
Maeneo Yafuatayo:
1️⃣KIMBIJI KIJAKA Million 2.5
2️⃣ BUYUNI BEACH PLOT Million 17.5
3️⃣BAGAMOYO KIDOMOLE Million 2
4️⃣ KIMBIJI GOLANI Million 2.5
5️⃣KIBAHA KWA MARTAS? Million 6.5 1️⃣ KIGAMBONI KIMBIJI KIJAKA
-Umbali Ni 35km Toka Ferry Na 25km Toka Kibada Center.
-Umbali Ni 3km Toka Kimbiji Center na 10km Toka Mwasonga.
-Viwanja Vipo Katikati Ya Mwasonga Center Na Kimbiji Center.
-Viwanja Vimepimwa Kuanzia Square Meter 400 yaani 20m kwa 20m Na Kuendelea.
-Bei Ya Square Meter Moja Ni Tshs 6250 Tu
-Huduma Zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Hati Hutolewa Baada Ya Kumaliza Malipo.
MALIPO!
Ni millioni 2.5 Tu cash Malipo Yote Hufanyika Kwa Njia Ya Bank 2️⃣BUYUNI PEMBAMNAZI BEACH PLOT.
-Ni Mradi Mzuri Na Wa Kuvutia Sana.
-Mradi Upo Buyuni Pembamnazi Beach.
-Umbali Ni 45km Toka Kigamboni Ferry.
-Huduma Zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Viwanja Vimepimwa Kuanzia Square Meter 400 Na Kuendelea.
-Eneo Lake Ni Zuri Na Neighborhood Yake Inavutia Kwa Kweli.
-Bei Ya Square Meter Moja Ni Tsh 37000 Kwa Mkopo Na Tsh 35,000 Kwa Cash.
Bei Ya Square Meter 400(20m kwa 20m) Ni Million 18.5 Kwa Mkopo Na Million 17.5 Cash.
✓Hati Hutolewa Miezi 3 Baada Ya Kumalizia Malipo Ya Kiwanja.
•Maongezi Yapo.
•MFUMO WA MALIPO:
Utalipa 50% Inayobaki utamalizia Kidogo Kidogo Ndani Ya Miezi 6

3️⃣BAGAMOYO KIDOMOLE .
-Ni Mradi Mzuri Na Wa Kuvutia Sana.
-Mradi Upo Bagamoyo Kidomole
-Huduma Zote Za Kijamii Zinapatikana.
-Mashamba Yamekatwa Kwa Ukubwa Wa Acre
-Eneo Lake Ni Zuri Na Neighborhood Yake Inavutia Kwa Kweli.
-Bei Yake Ni Million 2 Cash Per Acre.
✓Hati Hutolewa Miezi 3 Baada Ya Kumalizia Malipo Ya Malipo Yote Ya Shamba
•MFUMO WA MALIPO:
Utalipa 100% Ya Bei Ya Shamba
:SIKU ZA KWENDA SITE NI JUMATANO NA JUMAMOSI KWANZIA SAA 4:00 AHSUBUH SAFARI ZOTE ZITAANZIA OFISINI KWETU POSTA KITEGA UCHUMI KWA GHARAMA ZA TSH 10000 TU
Please Call Me/WhatsApp number

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Palace Property Limited
Member Since 26. Apr 145 Total Ads / 33 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.