Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
11. Sep, 12:16
Ad ID: 2116763
TSh 17,500,000

Viwanja Vinauzwa Kigamboni Buyuni Pemba Mnazi Tsh Million 17.5 Kwa Square Meter 500

Temeke, Pemba Mnazi Dar Es Salaam At Kigamboni Pemba Mnazi Buyuni Beach
Details
Price negotiable
No
Reference
Abdul
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
500.0 m²
Description

MRADI MPYA!!!
BUYUNI BEACH PLOT.
-Ni mradi mzuri na wa kuvutia sana.
-Mradi upo Buyuni beach.
-Umbali ni 37km toka Kigamboni Ferry.
-Huduma zote za kijamii zinapatikana.
-Viwanja vimepimwa kuanzia square meter 400 na kuendelea.
-Eneo lake ni zuri na neighborhood yake inavutia kwa kweli.
-Bei ya square meter moja ni 35000 kwa mkopo na 32,000 kwa Cash.
Bei ya square meter 400(20m kwa 20m) ni milioni 14 kwa mkopo na milion 12 cash.
-Hati hutolewa baada ya kumaliza malipo ya kiwanja.
-Maongezi yapo.
NJIA ZA MALIPO
Unatoa asilimia 50 inayobaki utamalizia kidogo kidogo ndani ya miezi sita ama mwaka mzima ukiigawanya kwa kila mwezi.
KARIBUNI SANA?

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Palace Property Limited
Member Since 26. Apr 151 Total Ads / 36 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.