VIWANJA VINAUZWA (750 SQM)

TSh 15,000,000
Ad ID
768300
Posted at
7. Jul, 07:40
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Unit of measure
Square Metres
Square units
750
Location
Kinondoni, Mbezi Dar Es Salaam Off Mbezi Makabe road
Description

VIWANJA VINAUZWA
viwanja vipo Mbezi makabe (Msakuzi), jirani na shule ya msingi MAKAMBA, kilometa chache kutoka barabara kuu ya Mbezi makabe
viwanja vinafikika kwa urahisi, (magari aina yoyote yanafika hadi viwanja vilipo) kwa usafiri wa aina yoyote,
barabara zinapitika bila shida yoyote
Eneo limeunganishwa na Umeme (Nguzo moja tu hadi viwanja vilipo), Maji na huduma zingine za kijamii zinapatikana
viwanja vina ukubwa wa:
mita za mraba 750 (25M x30M)
kwa mahitaji wasiliana nami kwa namba zifuatazo

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
 RUDAYA
RUDAYA
Member Since 26. Mar 2 Active Ads 2 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.