Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
17. Sep, 23:14
Ad ID: 2133491
TSh 2,200,000

VIWANJA CHANIKA

Ilala, Chanika Dar Es Salaam
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
1.0 m²
Description

NAUZA VIWANJA CHANIKA- Ilala -Dsm
Vipo barabarani
Umeme upo jirani
Maji yapo
Vipo katikati ya makazi ya watu.
Vinapatikana kwa bei nafuu sana kulingana na ukubwa wa eneo unalohitaji wewe mwenyewe.
Kuna umbali wa 1km kutoka stand mpya ya Chanika mpaka viwanja vilipo
Bei yake ni 2,200,000
Pia unaweza kulipa kwa awamu.
Ukubwa wa kila kiwanja ni Futi 49 kwa 49
HAKUNA DALALI MIMI NDIO MMILIKI WA VIWANJA. Epuka matapeli

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Bestsellertz
Bestsellertz
Member Since 14. Jul '18 6 Total Ads / 6 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.