Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
17. May, 16:01
Ad ID: 1412712
TSh 22,000,000

Surveyed project Viwanja vimepimwa Kigamboni kati ya WATUMISHI na Dege, Rami kama mita 100 au dakika 1 (mguu)

Temeke, Kigamboni Dar Es Salaam Kigamnboni, Mwongozo
Details
Price negotiable
Yes
Reference
NO
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
500.0 m²
Description

Surveyed plots Kigamboni katikati ya DEGE ECO village na WATUMISHI housing mwongozo, kutoka kwenye RAMI ni kama mita 100 au dakika 1 (mguu).
UMEME na bomba la maji vipo, kuna mchanga wa kujengea karibu, ni eneo tambarare, upepo mwingi wa bahari.
Angalia RAMANI Sasa vimebaki viwanja namba 175 mpaka 182 wahi sasa kuna vya makazi na biashara.
Kuna nyumba NZURI jirani na PRIMARY, kuna mradi wa MWONGOZO na DEGE ECO village karibu.
SIZE: kuanzia mita 20 kwa 25 mpaka 60 kwa 60 au
500 mpaka 3000 SQUARE METRE angalia ramani
BEI: TSH 40,000 kwa square metre, piga simu kwa maelewano na kwenda kuona ni BURE kabisa.
Njoo uwekeze hapa
kwa kiwanja kama bei ya kuanzia
tuwasiliane SASA..

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
abanerr
Member Since 23. Jan 2 Total Ads / 2 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.