Shamba/Kiwanja Kibaha Linauzwa

TSh 15,000,000
Ad ID
802159
Posted at
31. Aug, 10:53
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Not Applicable
Square units
2 acres
Location
Kibaha Mjini Pwani Fika kibaha kituo cha Madafu. Ukitoka dar es salaam mjini. Shamba lipo upande wa kushoto kutoka barabara ya morogoro. Pinda kushoto kama unaelekea kiwanda cha misumari au eneo la bandari kavu. Baada ya kilometer 2 hivi kabla hujafika bandari kavu au kiwanda cha misumari. Pinda kulia. Umbali wa mita mia mbili ukivuka kanisa. Umefika shamba. Upande wa kushoto
Description

1.Mahali: Kibaha. Madafu km 2 kutoka bara bara kuu ya Morogoro.
Tambarare. Heka 2. Linafaa kwa ujenzi wa nyumba au shamba.
Barabara nzuri mpaka ndani ya kiwanja/ shamba
Umeme upo karibu ya shamba.
Lipo usawa wa bandari kavu.unaweza nunua kwa ajili ya investment ya miaka mitatu ijayo.
Bei: 15,000,000 kwa heka .
Maelewano yapo.

2.Mahali: Kibaha- Boko Mnemela
Nyuma ya hospitali Tumbi . umbali km8
Heka 5 za shamba. Maji karibu .barabara mpaka ndani ya shamba. Zipo heka 5
Bei: 5,000,000 kwa heka.. Ukinunua zaidi ya heka moja bei inapungua .
Wasiliana na: Tara au Mama Josh.
Karibuni.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Tommy2973
Member Since 31. Aug 1 Active Ads Active Ads 1 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.