Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
21. Sep, 14:29
Ad ID: 2140925
TSh 500,000,000

Shamba linauzwa lipo Mkuranga Vikindu

Mkuranga Pwani Vikindu,
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
35.0 acres
Description

Shamba linaukubwa wa heka 35 na lipo km14 kutoka Vikindu center, Shamba limeendelezwa kisasa limepandwa mazao mbalimbali kama midimu mipasheni minazi mipapai pia kuna kisima cha maji, kina toa maji masaa 24 na Kuna tenki kubwa la Lita laki1 na matenki makubwa yakuhifadhia maji ya plastic na yapo kwenye minala yake, pia kuna mabwawa kumi10 ya samaki nakuna heka 8 ambazo ni bonde la mpunga maelezo ya vitu vilivyomo sitayamaliza hapa kwa kuandika kwa maelezo zaidi na picha zaidi nipigie cm, bei millioni 500 maogezi yapo nashamba tayari limepimwa lina Hati miliki

ZoomTanzania Disclaimer:
NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES. We value your safety above everything else.
Mpanga
Member Since 1. Mar 256 Total Ads / 233 Active Ads
Verified via:
Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.