Shamba Lililopimwa Lipo Kibaha

TSh 5,000,000
Ad ID
792014
Posted at
18. Aug, 14:19
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Unit of measure
Acres
Location
Kinondoni, Mbweni Dar Es Salaam
Description

Shamba lililopimwa lipo kibaha, njia rahisi na fupi ni ya kupitia bagamoyo road ukivuka daraja linalotenganisha bunju na bagamoyo upande wa kushoto uelekeo wa bagamoyo kuna barabara iliyochongwa vizuri, umbali ni kilometa 7 kutoka bagamoyo road kwenda shambani yaani kutokea baobab sekondari hadi shambani, shamba lipo kwenye barabara pia iliyochongwa vizur nayo.
Shamba lenyewe lipo wilaya ya kibaha, kata ya saangani sehemu inaitwa kidimu, shamba lina jumla ya hekari 8 zilizopimwa zote, na linauzwa kuanzia hekari 1 sio kwa kiwanja kimoja moja, na pia kuna huduma za msingi kama vile maji, hospitali, umeme na mengineyo, yani ni mji tayar na kuna wakazi wengi tuu. Bei imepungua sasa
Hekari 1 bei 5 million maongezi yapo kidogo sn, Me ndio mmiliki hakuna dalali hapa. Kama upo serious Please
Call/Sms

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Shabani Chuma
Member Since 26. Sep '15 1 Active Ads 12 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.