Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
Today, 11:04
Ad ID: 1767008
TSh 290,000,000 / acres

Plot kubwa inauzwa mbezi beach SalaSala.

Kinondoni, Kunduchi Dar Es Salaam Mbezi beach salasala IPTL
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
4,700.0 acres
Description

Plot kubwa inauzwa mbezi beach pale salasala maeneo ya sheli ya Oil Com IPTL sehemu nzuri sana karibu na main road.Uwanja ni hekari moja umepimwa una Hati tayari,Pana faa kwa ujenzi wa Nyumba za Makazi,Biashara,kujenga Godowns,kupaki yard ya magari, Kiwanda,Kanisa,Shule, Kiwanja kipo tambalare na njia zinapitika vizuri bei yake nafuu Kiwanja kina nyumba ndogo ya vyumba2 na sebule jiko choo,Pia kuna kiwanja kingine kikubwa hekari 2 zinauzwa pale Boko chama sqm 9000 Kina Hati kipo mita chache kutoka lami kina faa kwa matumizi km hayo Bei yake nafuu sana na maongezi yapo kwa maelezo zaidi piga simu.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Chriss Real Estate Agency
Member Since 30. Jul '15 139 Total Ads / 105 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Chat
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.