Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Viwanja Vilivyopimwa na Kutambuliwa na Serikali Mwongozo - Kigamboni

TSh 25,000 / m²
Ad ID
832590
Posted at
3. Jan, 13:31
Details
Price negotiable
Yes
Reference
123121
Price per square unit
Yes
Square units
700 m²
Location
Kinondoni, Kinondoni Dar Es Salaam kutoka ferry panda basi la kwenda dege eco village au kama unao usafiri wako njoo mpaka mjimwema
Description

Viwanja hivi vipo karibu na mradi wa watumishi housing na pia NHC tunauza kwa mtanzania yeyote ambaye angependa kumiliki kigamboni, uzuri wa eneo ni pamoja na uwepo wa umeme, masoko, hospitali, na miradi ya serikali AMBAYO itajengwa, ikiwemo makao makuu ya wilaya ya kigamboni. BEI ya sqm 1 ni sh. 25,000 na kiwanja cha chini ni sqm 700 na kuendelea.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Ecoplanex Limited
Member Since 14. Jul '12 8 Active Ads 8 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.