Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
4. Dec '19, 18:11
Ad ID: 1488582
TSh 5,000,000 / acres

Mashamba makubwa kilimo na ufugaji.

Kilosa Morogoro
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Square units
243,560.0 acres
Description

Shamba kubwa linauzwa morogoro hekari 500 zinagusa MTO ngerengere kwa umwagiliaji hakuna shida Bei ya kuuza milioni 450 kwa zote ndani kuna go dawn tayari.Hekari 100 zinauzwa morogoro zinagusa MTO wami swala la kumwagilia maji hakuna shida lina hati safi,Shamba Hekari 100 Lina uzwa morogoro Tuliani linagusa MTO Tuliani, Bei poa sana kila @ hekari moja laki5 tu.Hekari 121 zinauzwa morogoro sehemu Dakawa zimepimwa zina hati nako kuna MTO swala la umwagiliaji sio shida lina hati,mashamba mengine yapo maeneo ya kibaha,chalinze na bagamoyo,kilombelo,kigamboni,mbweni, Mashamba yote haya yamepimwa hayana mgogoro wowote, SHAMBA la nguvu ni Hekari 65 Lina uzwa Mkamba pale kimanzichana lenye mifungo tayari ngombe na mbuzi ndani yake Linauzwa Bei poa sana milioni 65 maongezi yapo. shamba hekari 15 Linauzwa milioni 8.5 kuna minazi,Mikorosho apo mkuranga Mwalusembe kutoka main road kilometer2 unafika site.kwa maelezo ya kupata mashamba kwa kilimo au ufugaji tupigie simu kwa maelezo zaidi.

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Chriss Real Estate Agency
Member Since 30. Jul '15 124 Total Ads / 106 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.