Land for Sale Bagamoyo

TSh 90,000,000
Ad ID
804373
Posted at
4. Sep, 08:38
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Square units
4,100 acres
Location
Bagamoyo Pwani Kiharaka mapinga, bagamoyo, pwani, Tanzania
Description

UKUBWA :SQM 4100

Eneo Lina jumla ya viwanja Vinne, Ambapo kila Kimoja Ni Zaidi ya SQM 1000

Eneo Linafaa Sana kwa Ufugaji Au Kiwanda Kidogo

Ndani ya eneo kuna banda la Mita 30x10
Nyumba ya Vyumba Vitatu
Stoo, Jiko, Kisima cha Maji
Majengo yote ni ya tofari

BEI:MILION 90 TZS
Maongezi yapo

MIUNDOMBINU: umeme Na Maji Vinapita jirani Na Eneo

MAHALI : Mapinga Kihalaka km 5 toka Lami (Ukitokea Tegeta Ni Mji Unaofata baada ya bunju)
Eneo linafikika kwa urahisi
Ni Jirani Na Kambi Mpya Ya Jeshi Inayojengwa Au Karibu Na ukumbi wa KKKT

NYARAKA :Eneo Lote limepimwa Na Lina Hati Ya Ofa #tittle #deed

For more details

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Bango
Member Since 30. Aug 4 Active Ads Active Ads 4 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.