Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 

Land Available At Kibiti

TSh 20,000,000
Ad ID
1042142
Posted at
7. May, 10:56
Details
Price negotiable
Not Applicable
Real Estate Type
Farm Land
Price per square unit
Not Applicable
Square units
10.0 acres
Location
Other Pwani District Pwani
Description

Shamba Zuri linauzwa kibiti, Lipo umbali wa kilomita Mbili tu(2) kutoka barabara ya Lami,
Pale Kibiti Mjini. lina jumla ya Hekari 10.

Ambapo:
Ekari 3 zimejengewa tayari mfumo wa umwagiliaji Maji kwenye Mazao,
Ekari 2 zina Mabomba tu kwaajili ya umwagiliaji pia,

Ekari 1 Ina Zao la Mihogo ambayo itakuwa tayari kwa kuvunwa mwezi wa saba-2018.

Ipo pia Miche 200 ya Mananasi yenye Umri wa miezi Sita,
Tanki la Maji lililojengewa Mnara wake,
Ipo Nyumba kwaajili ya Wafanyakazi, Ghala la kuhifadhi vitu/Mazao
Vilevile zipo Jenereta, Moja ya 5kv inayotumia mafuta aina ya diesel, Nyingine yenye uwezo wa 3kv inayotumia mafuta aina ya petroli.

Kipo Kisima cha Maji safi chenye Urefu wa mita 75 na Chenye Pump 2 za 1hp

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
 Dalali Leonard
Dalali Leonard
More from this Seller Member Since 24. Jun '16 270 Active Ads 2936 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.

Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.