Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
29. Jul, 14:41
Ad ID: 1485076
TSh 17,000,000

KIWANJA NA NYUMBA VINAUZWA MADALE 17M NEGOTIABLE)

Kinondoni, Wazo Dar Es Salaam Ukitoka kiwanda cha Wazo, unapita Mivumoni mbele kuna stand ya bus madale mwisho
Details
Price negotiable
Yes
Reference
Mita 70 kutoka barabarani, huduma zote za kijamii zipo
Real Estate Type
Residential Land
Price per square unit
No
Square units
70.0 m²
Description

Asalaam aleikum ndugu zangu wa jukwaa hili mahususi, bila shaka mtakuwa mnaendelea vizuri na mapumziko ya mwisho wa wiki.

Basi ningependa ku-share nanyi biashara hii ambayo iko wazi na iliyonyooka kama rula. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Nyumba na kiwanja viko umbali wa mita 70 tu kutoka kituo cha bus cha Madale mwisho. Kwa wale wenyeji bila shaka mtakuwa mmeshaelewa nachozungumza.

Upande wa mbele una jumla ya miguu 29, wakati upande wa kulia miguu 25, kushoto 20 na nyuma 23...Huduma zote za msingi zipo kama vile maji, umeme, maduka ya vyakula na bidhaa sambamba na huduma za kipesa.

Kiwanja kina nyaraka zote kutoka serikali za mtaa na kinatambulika hata na majirani hakina mgogoro wowote ule. Barabara ya gari inafika mpaka kiwanjani. Nimeambatanisha na picha zake. Bei Ni 17 Milioni Mazungumzo yapo.

Contact : +255 742 15 61 17

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Maleek-End
Maleek-End
Member Since 22. Feb 5 Total Ads / 5 Active Ads
Verified via:
Email Facebook Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.