Connecting buyers and sellers in Tanzania since 2009!
 
15. Jul, 14:16
Ad ID: 1471511
TSh 8,000,000

KIWANJA CHA KWANZA KWENYE LAMI CHENYE FREMU NANE ZA BIASHARA

Dodoma Mjini Dodoma Nyuma ya hospital ya mirembe iringa road
Details
Price negotiable
No
Real Estate Type
Commercial Land
Price per square unit
No
Square units
541.0 m²
Description

NAUZA KIWANJA KINACHOTAZAMA LAMI

MAHALI▶Michese-Iringa road(Nyuma ya usalama wa taifa/jirani na hospital ya mirembe dodoma). -Eneo liko opposite na kibao cha shule ya msingi michese(utaona kwenye picha)

UMBALI▶Kilomita 6 tu toka katikati ya jiji-Dodoma

UKUBWA▶square metres 541,kiko block ZE -plot number 03

FRAME ZA BIASHARA▶kina frame 08 na bado eneo limebaki.

HUDUMA ZA KIJAMII▶maji,umeme viko jirani.

BARABARA▶Ni eneo la kwanza toka barabara kuu ya lami

KUPIMWA; pamepimwa,kuna beacon na full document

FURSA ZILIZOPO
▶Eneo lilipo ni kituo cha daladala za michese-panaitwa kibao cha shule.Daladala husimamama hapo kushusha abiria!!Hiki ni kigezo muhimu na kikubwa sana hasa katika kutambulisha na kukuza biashara yako kwa haraka

▶Biashara kama vile hotel,mavazi,pub/bar,hardware,mbao,tofauli zinaweza toka kwa urahisi zaidi kwani maeneo ya jirani(kinyambwa extesion,miganga,chidachi) yanakua kwa kasi sana.

▶Huduma kama vile kituo cha afya,duka la dawa,bar&lodge,migahawa ni chache sana.Hivyo tumia fursa hii mapema!!!Kazi ni kwako

MALIPO
▶unaweza lipa cash au kwa awamu

▶ MALIPO YA CASH
bei ya eneo lote+frame zake ni milioni 8 Tu

▶ MALIPO YA AWAMU
-milioni 10 (ndani ya miezi mitatu,yaani milioni 3.3 kila mwezi)

NB-Kwenye ramani ni kiwanja chenye doti nyekundu

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
stevenmasaka@gmail.com
Member Since 30. Dec '15 19 Total Ads / 16 Active Ads
Verified via:
Email Mobile Number

Contact Seller
Contact via Phone
Contact via Email
Report This Ad
Cancel
Join our weekly Newsletter

Learn about new items, custom picked just for you.