Kiwanja 19m by 22m Kimbiji

TSh 4,000,000
Ad ID
570426
Posted at
29. Jul, 21:05
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Not Applicable
Unit of measure
Square Metres
Square units
475
Location
Temeke, Kimbiji Dar Es Salaam Kimbi,Temeke
Description

Maelezo:

Kiwanja kiko umbali wa kilomita 40 kutoka Kigamboni. Kina ukubwa wa mita 23 kwa 23 ,kiko njia panda kwenda ufukweni.
Kiwanja ni kizuri: tambarare,kiko jirani na barabara kuu lakini nje ya hifadhi ya bararaba.Kiko pazuri sana kwa biashara siku za usoni.
Kinafikika kwa gari moja kwa moja.Kinafaa kujenga duka la vifaa vya ujenzi, maduka,sehemu ya kufyatulia matofali nk.
Umeme uko hapo hapo jirani, na barabara ya lami inajengwa kuelekea huko.
Ujenzi unaendelea kwa kasi huko!

Pia miradi mikubwa ya nyumba kama avic town au kiwanda cha simenti haviko mbali
Bei:4000000.Maongezi yapo.

------------Sihitaji Dalali!----------------

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
Jeremiah
Member Since 12. Apr '13 2 Active Ads 2 Published Ads
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.