KWELI HALI NI MBAYA-KIWANJA CHIDACHI 1178SQM KWA 8M TU
MAHALI- #Chidachi
CHIDACHI-iko iringa road,inapakana na kikuyu,image,michese,itega na kinyambwa extension
UMBALI TOKA TOWN-5Km toka town centre
UKUBWA WA KIWANJA-1178sqm(Zaidi ya miguu 50 urefu kwa miguu 24 upana)
#kinafaa sana makazi
#appartments za kupangisha
DOCUMENT -HATI SAFI(CLEAN TITLE DEED)
MATUMIZI-makazi
BEI-8,000,000/=
HUDUMA -maji+umeme viko Jirani
Learn about new items, custom picked just for you.