Nauza viwanja vya makazi na biashara ,viwanja vyote vinatazamana na mji wa kiserikali MTUMBA,vipo upande wa kulia kama unatoma dodoma mjini na vyote vipo mita 300 kutoka lami ya dom to dar
Viwanja vinafaa kwa makazi na biashàra ,hotel ,lodge , service industry
Note; viwanja vina ukubwa kwanzia sqm 1000 hadi sqm 8084(heka mbili kwa ajili ya kiwanda)
Sqm moja tunauza 15000Tzsh
Learn about new items, custom picked just for you.