9000 Sq Units Land Dodoma

TSh 8,000,000
Ad ID
778428
Posted at
29. Jul, 20:30
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
No
Unit of measure
Acres
Square units
9,000
Location
Dodoma Mjini Dodoma Mbwanga mwishoni kabla hujakwenda nala.
Description

Eneo(SHAMBA)zuri sana lenye ukubwa wa ekari mbili na robo.mbele yake kuna ghorofa nzuri sana inajengwa,pia kuna mradi mkubwa wa kufyatua na kuuza tofali!umeme upo,maji yako jirani sana.umbali kutoka barabara ya lami iendayo singida,tabora,mwanza ni kama mita 500(nusu kilomita),kwakweli hii ni fursa ya kipekee kuwahi kutokea.eneo lipo dodoma mjini,mbwanga mwishoni kama unataka kwenda nala.bei yake ni ya kutupa,sawa na bure.milioni 8 tu

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
steven masaka
Member Since 30. Dec '15 10 Active Ads 10 Published Ads
Verified Accounts
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.