Eneo lenye ukubwa wa heka moja linauzwa Kiluvya makurunge ndani ya eneo kuna banda la kuku na Nyumba ya vyumba viwili na sebule umbali kutoka Kiluvya madukani Stendi ni km 14 pia barabara imechongwa unafika na Gari mpka lilipo Eneo umeme pia umefika
Learn about new items, custom picked just for you.