4420 Sqm Eneo Dodoma Mjini Kwa Bei ya Kutupa

TSh 35,000,000 / Square Metres
Ad ID
777492
Posted at
26. Jul, 16:51
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Yes
Unit of measure
Square Metres
Square units
4,420
Location
Dodoma Mjini Dodoma napatikana Dodoma mjini maeneo ya kizota
Description

Nauza eneo langu lililopo dodoma mjini,maeneo ya tanesco iliyopo kama unakwenda michese.Eneo lina ukubwa wa 4420 square metres(Ekari moja na kidogo),lina mapagale mawili mazuri ya block.moja lina vyumba 12 na jingine lina vyumba 2.Lina hati,umeme nguzo tayari tumekwishaweka,maji yako jirani!!!manispaa wanakuja kulipima muda wowote tangu hivi sasa,ila jirani utakajepakana nae yeye kashapimiwa.hivyo basi tayari kuna bikoni 2 upande mmoja wa eneo zinazotoka kwa mpaka wa eneo la jirani
Kuna barabara nzuri inayokuleta mpaka ndani ya eneo lako.Zaidi ya hilo utapakana na majirani waliojenga nyumba zao kisasa,hivyo basi kulipa eneo/mtaa mandhari stahiki na mvuto wa hali ya juu.
Bei ya eneo hili ni milioni 35 tu,na maelewano yapo.wanaojua eneo la tanesco watakua wanajua bei za viwanja ni ghali sana mpaka milioni 120 kwa ukubwa wa ekari moja.unaweza lipa kwa awamu pia kama tukifikia maelewano mazuri kuhusu ilo.karibuni sana

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
steven masaka
Member Since 30. Dec '15 10 Active Ads Active Ads 10 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.