Eneo Nusu Ekari Nala, Dodoma

TSh 2,000,000
Ad ID
813067
Posted at
13. Sep, 09:49
Details
Price negotiable
Yes
Price per square unit
Not Applicable
Unit of measure
Acres
Square units
900
Location
Dodoma Mjini Dodoma nala dodoma mjini
Description

1.Eneo hili liko mwanzoni kabisa mwa nala,karibu na hostel za chuo kipya cha biashara na pia si mbali na chuoni
2.Eneo linaukubwa wa kama nusu ekari na kuna makazi ya watu jirani
3.umbali toka town centre ni kama kilomita 12/13
4.umbali toka barabara kuu ya lami iendayo singida/mwanza/tabora ni kama mita 250/300
5.Eneo lina hati miliki ya serekali ya mtaa/kijiji
6.Eneo bado halijapimwa
7.umeme na maji haviko mbali
8.eneo lina njia ambapo gari inafika mpaka kwenye eneo lako kabisa bila shida yoyote
9.si eneo la kuliacha mana liko sehemu zenye fursa kama vile chuo kipo jirani,pia ni jirani na mzani,jirani na eneo la shabiby anapotaka kujenga sheli na kuna fursa nyingi sana sababu panakua kwa kasi kubwa
10.Bei yake ni milioni 2
11.Tuwasiliane
karibuni sana

ZoomTanzania Disclaimer:
WE VALUE YOUR SAFETY ABOVE EVERYTHING. NEVER PAY MONEY BEFORE VIEWING A PROPERTY, PLEASE REPORT ANY USER REQUESTING UPFRONT PAYMENT USING THE REPORT ABUSE BUTTON ON THIS PAGE. FOR MORE TOP TIPS ON KEEPING SAFE, SEE OUR SAFETY PAGES.
steven masaka
Member Since 30. Dec '15 10 Active Ads Active Ads 10 Published Ads
Verified info
Contact Seller
Phone Seller
Email Seller
Report This Ad
Cancel
Join our Mailshot

Notification for member sales, events and promotions.